Kwenda ruvu kuripoti

Kwenda ruvu kuripoti

Kununua vifaa vyote inacost kama shilingi ngapi mkuu
Kila kitu kina bei yake na sio lazima ununue vyote kwa mara moja pia usidhani ukifika tu utaanza mafunzo hapana kuna wakati wa kukaa kusubiri pale.
Usiwe na hofu kuhusu vifaa utapata tu hata kwa kukopeshwa
 
Habari wapendwa Ivi wanaoripoti ruvu jkt tarehe 27 kuna utaratibu gani nauliza?
Moderator pls mtoa hoja hana uwezo mkubwa wa kuandika sarufi kwa usahihi.

Neno ruvu lisomeke Ruvu. Kama ni graduate inaonesha namna gani atakavyokuwa siyo makini kwenye majukumu yake.

Inakera sana sana kuona mtu msomi au mwelewa akipuuzia usahihi wa sarufi kwenye mawasiliano
 
Sikusoma kishazi kitekenyeshi ndugu nisameheme mie kwaiyo hiyo sarufi sijui mofimu sizikumbuki wala maana sijui
 
Back
Top Bottom