Kwenda SUMBAWANGA ndiko kuliko mponza Diamond.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Katika vitu ambavyo alifeli Diamond ni kwenda huu mkoa uliojaa washirikina ,watu wenye vijicho na wasiopenda maendeleo ya watu.

Tangu Diamond aende Sumbawanga amekuwa mtu mwenye mikosi tele kila kukicha kuanzia siku ya kwanza alipotaka kufanya show ambayo waliahirisha kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na vilevile kuanguka jukwaani siku ya pili yake.


Mpaka sasa hivi bado hatuamini kama kuanguka kule kulikuwa kwa kawaida kutokana na uimara wa lile jukwaa.

Hilo halijatulia mara likajitokeza tatizo jingine la kuingia mgogoro na shirika la ndege ,
sakata hili bado halijapoa mara limejitokeza tatizo la kuzuiliwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usijulikana sambamba na kuzuiwa kwa muendelezo wa Wasafi Festival kwa mikoa iliyobaki.

Diamond Platnums inabidi hili suala asilichukulie kirahisi rahisi ,hakuna namna inabidi atafute wataalam wamuangalizie nyota yake kiundani zaidi pamoja na kuing'arisha upya kwa maana watu wa Sumbawanga wasiopenda maendeleo yake watakuwa wameshaifunika nyota yake kwa njia za kijadi.


Siku zote dawa ya mshirikina ni kuwa mshirikina zaidi yake, hakuna namna Diamond inabidi atumie njia za kijadi haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajawa mabaya zaidi japo nina amini Diamond ni mkubwa kuliko hata BASATA YENYEWE.
Vilevile kufeli kwa Diamond kutaathiri vijana wengi sana haswa wafanya biashara na wasanii wengi ambao kwa kiasi kikubwa walitarajia kuingiza pesa kupitia Wasafi Festival .

Kila la heri Simbaaaaa tupo pamoja katika wakati huu mgumu unaopitia

 
Familiar ya bi sandra Leo hailali ... nadhani muda huu watakuwa bwagamoyo ... wana fanya kisomo cha kufa mtu "full kupasua nazi nakuchinja mbuzi ikibidi ng'ombe kabisa .... maviwembe viwembe ndimu buni na chumvi ya mawe lazima vihusike hahaa .. kesho pakikucha wanaelekea kigoma kuweka mambo sawa ",

Huyo sijui Muingereza kiongozi wa BASATA ajipange "... siku sio nyingi atarajie kupigwa kipapai kitakacho leta mafuriko ya kuondoka na Ajira yake " kama sio na Uhai kabisa ".... halafu baada ya majuma kadhaa tutasikia kwamba BASATA wametengua adhabu waliyowekewa Diamond na rayvany ..hii itakuwa ni baada ya makafara kujibu " na kuilainisha roho ya Jiwe kitendo kitakacho pelekea jiwe kumuonea kijana huruma na kuiamuru BASATA itengue adhabu yake ...
 
Mbona wewe mama yako mganga Wa jadi na hatusemi
Kweli nimeamini wasafi festival inaongozwa kwa uchawi...

Cha ajabu mnaanza kuomba mungu mbele ya camera wakati mnamatunguli ndan
 
Sasa aende kwa wataalamu wakati huko sumbawanga ndo kwa wakuu wa wachawi nchi hii si ndo watamunyoosha vzuri
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Oooh inzi ni za Diamond, Oooh enzi ni za a za kale, wale wapiga madili sasa hali mbaya inzi ni zama za Magu si za Jakaya una kula nae futali Ikulu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Oooh inzi ni za Diamond, Oooh enzi ni za a za kale, wale wapiga madili sasa hali mbaya inzi ni zama za Magu si za Jakaya una kula nae futali Ikulu 🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kujidhalilisha mkuu!
 
unahua tatizo kubwa la diamond ni kutokuwa na meneja,mwenye ujuzi wa kazi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…