Kwenda SUMBAWANGA ndiko kuliko mponza Diamond.

Kwamba ni mkubwa kuliko BASATA.

Aendelee na shoo sasa!!
 
Joseph kusaga na mkewe wa kipemba au mzanzibari je?
 
Aende kwa waganga wa kienyeji!!?kupiga ramli?!!
Wewe lazima unaishi karne ya 17!!,yupo karne ya 21,sayansi na tekinolojia.mvua kunyesha sio uchawi,hata soca hualishwa mvua ikinyesha.
Jukwaa kuharibiaka sio ajabu,vitu kibao imara huaribika hata meli ya titanic ilipata ajari,richa ya kwamba ilikuwa meli imara sana.
Inabidi Dogo afanye vitu kisayansi.sio kwenda kwa wachawi,kama hao wachawi wanafaida,mbona wewe hujaenda wwkufanye uwe na pesa kama Diamond!!,acha ujinga ndugu
 
Uko vizuri kuelezea ya familia ya diamond
 
Asilimia 80 ya wafanya biashara including wauza nyanya sokoni katika Tanzania + Africa wanaamini nguvu ya uchawi katka mambo yao, sio hao tu bali wanasiasa pia na wajasiriamali wakubwa...na ndo mana tunafeli kila kitu....neno Elimu kwao ni upuuzi,Waisrael wataendelea kuvumbua aina mpya za ndege huku sisi tukiwa watumiaji....uchawi sio suruhishi la jambo lolote zaid huleta chuki, wivu, kijicho, umaskini na vifo...Shetani akamwambia Yesu nisujudie nikupe mali zote za dunia...Yesu akamwambia wa kusujudiwa ni Mungu
peke yake kwa gharama yyte ile....Shetani bado anadanganya watu kwa slogan ile ile lakn mwisho wake ni taabu, chuki. visasi, kuharibikiwa na umaskini juu, huku wakishuka kaburini bila tumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…