Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende kwa waganga wa kienyeji!!?kupiga ramli?!!Katika vitu ambavyo alifeli Diamond ni kwenda huu mkoa uliojaa washirikina ,watu wenye vijicho na wasiopenda maendeleo ya watu.
Tangu Diamond aende Sumbawanga amekuwa mtu mwenye mikosi tele kila kukicha kuanzia siku ya kwanza alipotaka kufanya show ambayo waliahirisha kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na vilevile kuanguka jukwaani siku ya pili yake.
Mpaka sasa hivi bado hatuamini kama kuanguka kule kulikuwa kwa kawaida kutokana na uimara wa lile jukwaa.
Hilo halijatulia mara likajitokeza tatizo jingine la kuingia mgogoro na shirika la ndege ,
sakata hili bado halijapoa mara limejitokeza tatizo la kuzuiliwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usijulikana sambamba na kuzuiwa kwa muendelezo wa Wasafi Festival kwa mikoa iliyobaki.
Diamond Platnums inabidi hili suala asilichukulie kirahisi rahisi ,hakuna namna inabidi atafute wataalam wamuangalizie nyota yake kiundani zaidi pamoja na kuing'arisha upya kwa maana watu wa Sumbawanga wasiopenda maendeleo yake watakuwa wameshaifunika nyota yake kwa njia za kijadi.
Siku zote dawa ya mshirikina ni kuwa mshirikina zaidi yake, hakuna namna Diamond inabidi atumie njia za kijadi haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajawa mabaya zaidi japo nina amini Diamond ni mkubwa kuliko hata BASATA YENYEWE.
Vilevile kufeli kwa Diamond kutaathiri vijana wengi sana haswa wafanya biashara na wasanii wengi ambao kwa kiasi kikubwa walitarajia kuingiza pesa kupitia Wasafi Festival .
Kila la heri Simbaaaaa tupo pamoja katika wakati huu mgumu unaopitia
View attachment 971732
Uko vizuri kuelezea ya familia ya diamondFamiliar ya bi sandra Leo hailali ... nadhani muda huu watakuwa bwagamoyo ... wana fanya kisomo cha kufa mtu "full kupasua nazi nakuchinja mbuzi ikibidi ng'ombe kabisa .... maviwembe viwembe ndimu buni na chumvi ya mawe lazima vihusike hahaa .. kesho pakikucha wanaelekea kigoma kuweka mambo sawa ",
Huyo sijui Muingereza kiongozi wa BASATA ajipange "... siku sio nyingi atarajie kupigwa kipapai kitakacho leta mafuriko ya kuondoka na Ajira yake " kama sio na Uhai kabisa ".... halafu baada ya majuma kadhaa tutasikia kwamba BASATA wametengua adhabu waliyowekewa Diamond na rayvany ..hii itakuwa ni baada ya makafara kujibu " na kuilainisha roho ya Jiwe kitendo kitakacho pelekea jiwe kumuonea kijana huruma na kuiamuru BASATA itengue adhabu yake ...
Kwa nini?Acha kushauri Ulozi mkuu
Walivyoenda Sumbawanga walishinda?Mbona yanga walienda na bado mtu alipapaswa
Kwa nini?