Kwenda zanzibar

Kwenda zanzibar

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Habari za mida hi wakuu

Nipo apa posta nasubiria kilimanjaro expres tayar kwa kwenda nchi jiran zanzibar!!!!!

Swali langu ni je hiv hua kuna kupita hotelin kula( ilivo kwenye kutoka mkoni labda bukoba to dsm mnapita hotel kula)

Nawasilisha
 
Msosi mtapewa humo ndani(au vinywaji)
Hata hivyo safari ni fupi huna haja ya kula safarini(hasa wanaosumbuliwa na safari za majini)
Safari njema Mkuu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ndio mtasimama kushuka njia panda ya nungwi kuchimba dawa, kula na kuzama kwenda kutazama mabaki ya mv spice islander na mv stargate
 
Msosi mtapewa humo ndani(au vinywaji)
Hata hivyo safari ni fupi huna haja ya kula safarini(hasa wanaosumbuliwa na safari za majini)
Safari njema Mkuu.
Asante mze baba
 
Kwanza na huo upepo niliousikia uko posta hiyo safari bora uiahirishe kuliko mkageuzwe samaki baharini.

Kuna mtu kaniambia Posta kuna upepo mkali sana hadi unatoa sauti kama ya miruzi....
 
Kwanza na huo upepo niliousikia uko posta hiyo safari bora uiahirishe kuliko mkageuzwe samaki baharini.

Kuna mtu kaniambia Posta kuna upepo mkali sana hadi unatoa sauti kama ya miruzi....
Na mvua inapiga balaaa
 
Habari za mida hi wakuu

Nipo apa posta nasubiria kilimanjaro expres tayar kwa kwenda nchi jiran zanzibar!!!!!

Swali langu ni je hiv hua kuna kupita hotelin kula( ilivo kwenye kutoka mkoni labda bukoba to dsm mnapita hotel kula)

Nawasilisha

Yah wana hoteli yao inaitwa KILIMANJARO MOTOR WAY ipo Korogwe wana vyakula vitamu sana.
 
Back
Top Bottom