Tatizo la nikki wa pili anajifanya anajua kila kitu
hakosei ananikera sana
Baba mtumishi hicho chama umejiunga lini?[emoji848]"Pono" - Hii ni aina ya samaki.
"Kujichua" - Ni aina ya tiba mf. mimi nina miaka 3 sasa najichua mguu Wangu, hua kuna kipindi unavimba na napata maumivu sana.
Hitimisho;- Mzigua90 hili aliloandika huyo mtu halituhusu Chama chetu pendwa.
(CHAPUTA na kiheshimiwe na watu wote).
Ingekuwa nyeto inamadhara kama baadhi ya watu wanavyoikomalia nafikiri serikali ingeshatangaza janga la kitaifa kwa madhara yanayotokana na huu utamu au ingekuwa inaua mbele ya malaria.Huyu jamaa hajui kuwa mpaka wadada wanajichua au amejitoa akili?!??
Kujichua ni tatizo (psychological problem) ni si kuukwepa majukumu kama anavodai huyu kilaza.
Wana CHAPUTA wanaitaji kushauliwa zaidi kuliko masimmango.
Kumchukia mtu hakumpunguzii mtu kile alichonacho na wala hakutampunguzia mwendo ili umfikie, ni kukubaliana tu na hali ilivyo kuepuka kutembea na panadolTatizo la nikki wa pili anajifanya anajua kila kitu
hakosei ananikera sana