Kwenu CHAPUTA

Kwenu CHAPUTA

Wacha nikae kimya tu, ila Dada Mzigua90 nakuheshimu mno. Wacha niishie hapa kwa sasa
 
Huyu jamaa kwa mawazo haya ndio ana ndoto za kuwa Rais. Kweli Tanzania tuna laaana za mababu.
 
Masturbation " amekutwa mpaka waziri anapiga huko SA ... so anataka kutuambia kuwa licha ya yule waziri kuwa na ukwasi wa kutosha lakini bado alikuwa ana kwepa majukumu ... huyu nikki huwa anapenda Sana u-much know
 
Huyu jamaa ni fala sana,chini ya jua hakuna starehe kubwa kama puli...halafu huwa hatufanyi puli bure kwa kuwa huwa tunatumia lotion au soap na vyote hivyo huwa hatununulii yeye
Huyu inabidi avuliwe hata hiyo degree yake kwa kudhalilisha chama kikubwa Duniani!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ingekuwa nyeto inamadhara kama baadhi ya watu wanavyoikomalia nafikiri serikali ingeshatangaza janga la kitaifa kwa madhara yanayotokana na huu utamu au ingekuwa inaua mbele ya malaria.
sasa hujui chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na nyeto?......


aisee dada zetu wanapata shida sana miaka hii sababu ya puli
 
aiseee kumbe punyeto ina wafuasi wengi hivi??????..........


yan watu wamekua mbogo ghafla na kumvamia Niki kwa mineno mikali kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]
 
Back
Top Bottom