Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Kwanza kabisa ninakiri kufahamu mchango wa HESLB kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika ufanikishaji wa ndoto za vijana kwa kiasi.
hili la ukopeshaji wanafunzi wa elimu ya juu liangaliwe upya haswaa kama mwanafunzi anahitaji kuongeza degree nyingine ila pesa ya kurudisha ili aweze kusoma degree nyingine inakua kikwazo.
Vijana wengi wanapata shida kwa mfano kijana anaweza kusoma kozi fulani lakini akaja kugundua hio kozi kwa kweli sio nzuri au hailipi katika soko la ajira.
Sasa kisanga kinakuja apate wapi pesa za kulipa huo mkopo ili akasome kozi yenye uhakika na ajira? Mtoto wa mkulima utoe wapi mamilioni yakulipa deni ili upangiwe mkopo ukasome kozi nyngine chuoni??