ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu tujuzane bei ya viazi ulaya huko katika masoko yenu. Kwa Mtwara bei ni 115000 kwa bei ya jana kwa kiroba ambacho sidhani kama kinafika kilo 100 nahisi 90 kg...sio poa chips kavu 2000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya chips bado tunadunda nazo kwa BUKU yako tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu mkoa sijui kwann nilichelewa kuijuaWakuu tujuzane bei ya viazi ulaya huko katika masoko yenu. Kwa Mtwara bei ni 125000 kwa bei ya jana kwa kiroba ambacho sidhani kama kinafika kilo 100 nahisi 60-80 kg...sio poa chips kavu 2000 na adimu kuipata.