Kwenu huko gunia la viazi mviringo bei gani?

Kwenu huko gunia la viazi mviringo bei gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu tujuzane bei ya viazi ulaya huko katika masoko yenu. Kwa Mtwara bei ni 115000 kwa bei ya jana kwa kiroba ambacho sidhani kama kinafika kilo 100 nahisi 90 kg...sio poa chips kavu 2000.
 
Wakuu tujuzane bei ya viazi ulaya huko katika masoko yenu. Kwa Mtwara bei ni 125000 kwa bei ya jana kwa kiroba ambacho sidhani kama kinafika kilo 100 nahisi 60-80 kg...sio poa chips kavu 2000 na adimu kuipata.
Mbeya chips bado tunadunda nazo kwa BUKU yako tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu mkoa sijui kwann nilichelewa kuijua
 
Back
Top Bottom