Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Wabadilikeπππ Bonge la Tai shingoni
Alafu habari za michezo huzioni ktk mfumo wa video yaani ni kama vile unasikiliza RADIO tu.
Yote ni sawa.Eti mtangazaji wa kipindi cha michezo anavaa shati la egoli na kadeti dah.
Apige suti huoni wachambuzi wa azam ?Yote ni sawa.
Ila hili la mavazi naona mnafanya mambo yawe magumu.
Kwani mtangazaji anaenda kusoma habari au kucheza mpira mpaka avae jezi.
Halafu jezi sio vazi la kazini.
Ipo kwenye visumbuzi.Itv sidhani kama ipo
Huwezi kuona kwa mfumo wa video mana hawana kibali maybe watumie yenye logo ya azamπππ Bonge la Tai shingoni
Alafu habari za michezo huzioni ktk mfumo wa video yaani ni kama vile unasikiliza RADIO tu.
Wajitahidi kubadilika maana hawana vipindi vizuriIpo kwenye visumbuzi.
Hawapendi mabadiliko.Wajitahidi kubadilika maana hawana vipindi vizuri
Mtangazaji au mchambuzi wa mpira hutakiwi kuvaa jezi ya timu yoyote.Apige suti huoni wachambuzi wa azam ?
Kuna mahali nimetaja jezi? Mbona unakuwa kama Lucas Mwashambwa ?Mtangazaji au mchambuzi wa mpira hutakiwi kuvaa jezi ya timu yoyote.
Angalia hata nje ya nchi.
Sorry, sikukuelewaKuna mahali nimetaja jezi? Mbona unakuwa kama Lucas Mwashambwa ?