Kwenu kampuni ya bia Serengeti

Kwenu kampuni ya bia Serengeti

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?

IMG_20240514_132049.jpg
 
Mkuu, hio kawaida, kila eneo na standards zake, usilie kabisa,
Kama huwez hio bei kunywa kinywaji kingine,

Hata soda zina bei elekezi ila tunajua kuna mahali zinauzwa 700 kwingine 2000
 
napataje haya makitu wadau tafadhal.......nipo moshi......whatsapp 0768494699
 

Attachments

  • IMG-20240616-WA0005.jpg
    IMG-20240616-WA0005.jpg
    59.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom