Kwenu Mabachela, Unasafisha Gheto mara ngapi kwa Mwezi?

Kwenu Mabachela, Unasafisha Gheto mara ngapi kwa Mwezi?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu.

Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda gan ndo mfanyie usaf mageto?
 
Mwaka wa pili huu fagio langu bado jipya
ila mwanangu sana hana fagio kabisa
 
Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu. Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda gan ndo mfanyie usaf mageto?
Mwezi uliopita ni juzi.Ndiyo siku nyingi hizo?Au ulitaka kueleza mwezi uliopita siku gani?
 
Huu uzi bila mapicha picha haunogi kabisa
 
Me ufagio uliibiwa na majiran mwaka jana kipindi na hamia , kwahyo nshu ya kufagia nikaachana nayo ad leo
 
Back
Top Bottom