Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Mwezi uliopita ni juzi.Ndiyo siku nyingi hizo?Au ulitaka kueleza mwezi uliopita siku gani?Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu. Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda gan ndo mfanyie usaf mageto?
Hhahahha kongole kwa mwanao sanaMwaka wa pili huu fagio langu bado jipya
ila mwanangu sana hana fagio kabisa
Mwezi uliopita mwanzon bossMwezi uliopita ni juzi.Ndiyo siku nyingi hizo?Au ulitaka kueleza mwezi uliopita siku gani?
Umetisha sana 😂Mwaka wa pili huu fagio langu bado jipya
ila mwanangu sana hana fagio kabisa
Huu uzi bila mapicha picha haunogi kabisa