mungu hukumbukwa upesi kwenye shida bro.Hivi ni kwa nini kale ka umri ka kuolewa kakianza kuwaacha acha kuwapita huwa mnamtumainia sana mungu.
Yaani hata post zenu kwenye mitandao ya kijamii huwa ni za kimungu mungu. Hivi ni kwa nini?
Halafu utakula yeye mwenyewe hajaoa sasa sijui anataka nani awaoe?Hizi mada za kuwaandama wadada sijui zitaisha lini..utafikiri we huna madada
Swali zuriUnataka wamtumainie shetani?
Ndugu Zangu Mjifunze KuchaguaSasa mbona yaliopo niya ccm
Maendeleo Hayana Chama