Kwenu madada ambao hamjaolewa.

Kwenu madada ambao hamjaolewa.

Shida wanachagua mno alafu umri ukiwatupa ndo wanakuja kuolewa na mtu ambae wala hakuwa sahihi kwao
Aahh si ndio hawa wakiwa sekondari wanasema mchumba wao ni Yesu[emoji23][emoji23] wakifika umri hawajaoelewa wanarudi kwake


ila me natania tu....


Alafu mkuu mbona umefanya kama ndoa ni kitu cha lazima? Kila mtu ana uhuru na maisha yake
 
Back
Top Bottom