Mpigania Uhuru
Member
- Dec 5, 2011
- 78
- 93
mkuu hili ni jukwaa huru, hata kama sijui hivyo ulivyoviandika hapo juu wewe unatakiwa ujibu (kama unataka) hoja iliyopo mezani. Na mimi nikikuuliza vitu nilivyosoma mimi kwa muda wote niliokuwa shule hutavijua. Cha msingi jibu hoja dr.na kuwa tayari kupokea challenges! Suala la mtoto wangu kuugua homa kali halina uhusiano na hoja iliyo mezani
point niliotaka uelewe ni kwamba kipimo kinaweza kuonyesha una malaria na ili hali huna au kinaweza
kuonyesha huna kumbe unayo. Hakuna kipimo kilicho 100% sensitive na 100% specific.
note: It is what we think we know already that preavents us from learning