Kwenu madaktari-hivi Tanzania ugonjwa ni malaria tu?


point niliotaka uelewe ni kwamba kipimo kinaweza kuonyesha una malaria na ili hali huna au kinaweza
kuonyesha huna kumbe unayo. Hakuna kipimo kilicho 100% sensitive na 100% specific.

note: It is what we think we know already that preavents us from learning
 
Kila la kheri.najua haujui mfumo wa afya unavyo-operate nchi hii
 
Hapa umetumia elimu ya juu sana.jaribu kurahisiha ili huyu msoma vitabu akuelewe.
 
Swal la kujiuliza, Baada ya tiba/Dose wanapona ama wanaendelea kuumwa??
 
hapa umetumia elimu ya juu sana.jaribu kurahisiha ili huyu msoma vitabu akuelewe.
asante.
Unajua tatizo mtaani kila mtu dr.
Kama unataka uamini kuweni na mgonjwa hapo nyumbani kwenu karibu kila mtu anayekuja kumsalimia atatoa dawa/utaalam wake.
Ndio maana average lifespan mtanzania ni around 50yrs wakati wenzetu kama norway ni around 80yrs. Anaway hii ni neema kwa mashirika yanayolipa pension kwa sababu wachache sana huwa wanazidi 60yrs.
 
ni kweli.mwaka jana tuliuguzajirani yetu mwenye advanced gastric carcinoma ambaye alipelekwa muhimbili with gastric outlet obstruction.bahati mbaya ndugu walimtorosha muhimbili na kumpeleka kwa traditional healer huko vingunguti aliyejidai anatibu kansa aina zote.siku chache baadae mganga alipoona hali imebadilika mgonjwa kapoteza fahamu, akawaambia sasa muwahisheni muhimbili nimeshaweka mambo sawa, mkifika atapona.Jamaa akafia njiani.na yule mganga kahama huko vingunguti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…