Mr Rocky unataka kuwa kama mbuni mkuu? manake huwa anaficha kichwa mchangani kisha anadhani amejificha kiwiliwili chote
Kaizer siwezi kuwa kama mbuni mkuu ndo maana naikubali shule yako ni muhimu sana kuzingatia haswa sisi ambao tuko tayari kwenye ndoa. Ndoa zetu bado changa na tamu aise sasa nikianza kuingia deep na kusaka mbadala nafikiri naweza kuzama moja kwa moja na kujikuta hata ndoa yangu nashindwa kuitendea haki
Utakujalipa aka nikimbie maanaa wajanjawanakunywamaji kwanza ukijawanarudi name shot[QUOTis mad zer;11528632]Nimependa ujumbe wako "take another shot" Baby is Mad
Topic nzuri umetoa maneno mazuri ya nasaha...but after reading this, I just felt nyumba ndogo ni another form ya utumwa fulani. Sorry ladies who are in this situations, hebu tutafute another idea on enterpreneurship sio hii.
Nafanya competition na mama Mcharo!Infact next year nataka nimreplace kabisaaa...ha ha ha!
Hakuna penzi tamu kama penzi la wizi.... Kama huamini tujaribu uone.
ewaaa sasa hapo ndo umeongea, using'ate usichoweza kutafuna mkuu, hilo la kwamba ndoa yako na Dena Amsi kwamba ni changa I doubt
Topic nzuri umetoa maneno mazuri ya nasaha...but after reading this, I just felt nyumba ndogo ni another form ya utumwa fulani. Sorry ladies who are in this situations, hebu tutafute another idea on enterpreneurship sio hii.
Mkuu Kaizer bado penzi linapaliliwa na kuongezwa vionjo kila siku ndo maana inaonekana changa japo ni ya muda sana
Na ndo maana kila siku ndoa inaonekana mpya maana ubunifu na manjonjo yanaongezeka kila siku aise
Nikiona kipya na kizuri unawehuka aise unaenda kando
Kaizer siwezi kuwa kama mbuni mkuu ndo maana naikubali shule yako ni muhimu sana kuzingatia haswa sisi ambao tuko tayari kwenye ndoa. Ndoa zetu bado changa na tamu aise sasa nikianza kuingia deep na kusaka mbadala nafikiri naweza kuzama moja kwa moja na kujikuta hata ndoa yangu nashindwa kuitendea haki
Mtamu kama nn??