USijali mtumishi, haya ni majadiliano ya jumla (general) na sio ya wanaoweza na wasioweza...japo wote ni wa Mungu
Baby.....you are mad!!!
Hebu twende PM tukapange michakato ya kuchepuka responsibly. I love them mad babies....
Kwa kuongeza pia msipende kusimulia mapungufu ya mkeo kwa nyumba ndogo e.g mke wangu hajui kupika, mke wangu mvivu, housegal ndio anafanya kila kazi nyumbani, mke wangu ni mtu wa vikao na kitchen party hana muda na mimi na bla bla kibao.
Kufanya hivi ni kuipa nafasi nyumba ndogo kucheza karata zake vizuri ili kukuteka kiakili baada ya kugundua nini hukipati kwa mkeo.
Ndio ile unaona dume zima sasa linaloea nyumba ndogo, na kusahau familia kwa sababu ya mambo ambayo baba kayasababisha.
Ukiwa na nyumba ndogo, ongeeni yenu, msifie pale anapofanya la kukufurahisha lakini huna sababu ya kulinganisha.
Epuka kumtaja taja mkeo ukiwa na nyumba ndogo, maana haimhusu, ulijua una mke lakini bado ulikuja kwangu, hivyo habari za mkeo hazina tija hata moja kwenye mahusiano yetu.
Kwa vile umeamua mwenyewe kua na nyumba ndogo, bila kulazimishwa na mtu na una sababu za msingi kufanya hivyo, basi nyumba ndogo ikikuheshimu, kukuthamini na kukupa unachostahili, basi na wewe lipa fadhila kwa kuitendea haki inayostahili.
Ni haya kwa sasa, nikikumbuka mengine nitaingezea.
Sent from my iPhone using JamiiForums

Ili mradi tu usije ukampenda kama unavyonipenda mimi....
Aachikemarambili utamchukua??Hakuna penzi tamu kama penzi la wizi.... Kama huamini tujaribu uone.
Noted with thanks
cc: Kaizer
Umesahau moja..... ni marufuku nyumba ndogo kulia wivu wa kimapenzi. Ukumkuta mwizi mwenzio yuko na mwizi mwingine usianzishe zali..... badala yake ongeza juhudi umzidi mwizi mwenzio.
Ukitaka kumpiku mwizi, kuwa jambazi.
Ni marufuku pia baba kulia wivu kwa nyumba ndogo, peleka wivu kwa nyumba kubwa. Maadam nimejitoa mhanga kua na wewe wakati umeoa, basi ukiwa uko kwa mkeo niache na mimi nijiachie with friends.
Sio kutwa mawivu kwa mambo ambayo hayapo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Namba 13 nitakushushia kipondo kama mbwa mwizi...namba 14 utasoma namba!!!