Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Una attach strings za nini na mume wa mtu??


Sent from my iPhone using JamiiForums

hapo sasa...yale yale niliyokuwa nasisitiza...asante kwa kukumbushia hilo Da Asia
 
Last edited by a moderator:
"Hawara anauma kuliko mke" Kaizer tutaongea vizuri kwenye stuli ndefu kwa sasa ngoja nikitendee haki hiki kibaridi...gadem mazafantazz

hahaha haya poa jioni basi kisha tutaleta mrejesho wa "majadiliano" yetu

hapo bold ntaomba upost topic yake tarehe 5/1/2015 maana pana mengi sana apo
 
Word mzee mwenzangu Kaizer.....
Sasa kuna kitu sielewi.....kwana Askofu ni mbeibs?

Back to topic....
Msisitizo namba 5.....lazima nyumba ndogo itambua na kuelewa hakuna wakati wowote anashindana na mwenye mali....as simple as that!! Nyumba ndogo sio sub ya matatizo ya mwenye mali....nyumba ndogo inasaidia kukamilisha idadi ya wanawake kwa wanaume.....naturally!

Nitarudi...
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh....mi hii elimu hainifai asilani kwa sababu sitegemei kujiunga na hiyo shule siku zote za uhai wangu eeh Mungu nisaidie.

usiseme hayo mambo hutokea tu.
Kama ya wale wa dr kisarawe.
Hivi unacheza na vidume vikwale nn
 
mkuu naona unatoa mbinu za uchepukaji..toa na za kuepuka uchepukaji (halafu mwandiko wako kama naujua vile).

yaani missieg umejiunga takribani miezi sita iliyopita kisha leo hii waufahamu mwandiko wangu? hebu kuja PM chap chap sana

CC Asprin kwa mwongozo
 
Last edited by a moderator:

mkuu RR unamfahamu mama lwakatare ana cheo gani kanisani? Then utajua Askofu ni mbebs au la hahahahaha

Mengine siongezi neno
 
Last edited by a moderator:
Reactions: RR
Nnyumba ndogo kuweka miguu kwenye dashboard pindi muwapo garini,
Pia nyumba ndogo kusahau/kuacha kwa makusudi vitu vidogovidogo kama chanua,kibanio,lipstick n.k ndani ya gari ya baba mchepukaji.
 
Nnyumba ndogo kuweka miguu kwenye dashboard pindi muwapo garini,
Pia nyumba ndogo kusahau/kuacha kwa makusudi vitu vidogovidogo kama chanua,kibanio,lipstick n.k ndani ya gari ya baba mchepukaji.

Mate na wewe huwa unachepuka?
 

Kwa magonjwa yalivyo mengi ni muhimu kua karibu na mumeo uchunguze kama anachepuka au la. Ukigundua anachepuka, kabla hujakurupuka, jitizame wewe kwanza. Kuna mengi yanamfanya mwanaume achepuke.
Ukigundua una mapungufu ambayo mumeo amejaribu ku share na wewe lkn ukaamua kupotezea, badilika.
Kama umejiangalia na ukaona kila analostahili mumeo kupata toka kwako analipata, ongea nae taratibu.
Wanaume ni wasikivu ukiwa na approach nzuri, ukikurupuka na kua mkali, umemfukuza.
Mengine sitajibu maana ni too personal.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nnyumba ndogo kuweka miguu kwenye dashboard pindi muwapo garini,
Pia nyumba ndogo kusahau/kuacha kwa makusudi vitu vidogovidogo kama chanua,kibanio,lipstick n.k ndani ya gari ya baba mchepukaji.

Hahahahahahhaah........baba mchepukaji ndio uwe makini sasa kukagua gari pindi tu utokapo kwa small nyumba..................
 
Asante sana my dia Kaizer.Aiseee nyumba ndogo kazi tunayo ila itabidi nizingatie huo ushauri.Bi mkubwa Munkari usipite huku usije kubeba points zote........
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh....mi hii elimu hainifai asilani kwa sababu sitegemei kujiunga na hiyo shule siku zote za uhai wangu eeh Mungu nisaidie.
Ni Suala muda tu Khantwe , yatakapokufika, hautakuwa na ujanja
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…