OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
12:mpe sifa pale anapokufanya uwe happy..
13: mbusu busu hata hadaharani
14: ukipata nafasi msachi uchukue hela
Hiyo Na. 13 siyo kweli, uweke hadharani hilo busu hujipendi?
Dah.......hiyo michepuko yako noma mpk wako na simu zao special lol............kama hawapo huku waambie waje wasome hii thread ili wakumpunguzie mzigo wa kuwa na simu nyingi nyingi!!!!!
Michepuko yote inakuwa na simu yao moja. Yenyewe kwa yenyewe ikifumaniana..... mimi ODM huyoooooo kwa wife.
Michepuko yote inakuwa na simu yao moja. Yenyewe kwa yenyewe ikifumaniana..... mimi ODM huyoooooo kwa wife.
Hahahahahahah.........halafu icho kipengele cha mchepuko anaruhusiwa kumharasi mchepuko mwenzie mbona Kaizer hajakiweka....au inahitaji anaza sredi?
Hiyo sredi ntaianzisha mimi. ngoja kwanza nigonganishe michepuko nipate uzoefu kwanza.
Hahahahahah.......gudilaki zen!!!!!!!!
senkyuuuu..... unaonaje ukiwa sehemu ya mchepuko wangu utakayefumaniwa na sinia endi eksipiriensdi mchepuko wangu??
mbona husemi lolote :cheer2:
hahaha haya poa jioni basi kisha tutaleta mrejesho wa "majadiliano" yetu
hapo bold ntaomba upost topic yake tarehe 5/1/2015 maana pana mengi sana apo
Ahhhha na nn binam
Ahsanta nimeshiba japo baadhi ya maswali yangu umeyakwepa.....
Kwa ufupi kabisa unawaongeleaje nyumba ndogo?
Unahisi uwepo wa nyumba ndogo unaepukika?
Kuwa mpango kando....