Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da Asia this coming from a married woman umenibariki sana.Mara nyingi tulioolewa ndio wasababishaji kuwepo kwa nyumba ndogo. Hii inatokana na kujisahau wajibu wetu kwa mume.
Elimu na nafasi makazini zimechangia sana kujisahau. Unashindwa kunyenyekea maana una kipato sawa au wakati mwingine unamzidi mumeo. Hii inakujengea fikra potofu kua "hata mimi ninazo"
Kazi zako zote kwa mume anafanya dada. Uko busy pia. Baba akikosa attention yako obvious atatoka nje kufuata attention. Nyumba ndogo ikigundua hilo ni full kujitoa!
Wanaume ni kama watoto, kitu kidogo sana chaweza kumkimbiza au kumrudisha kwake, walioolewa tuwe waangalifu kwenye hili.
Degree yako na cheo chako acha getini kwako, ukiingia ndani vaa joho la mke wa kaizer. Utaweza. Hata kaizer akienda, hataweka makazi.
Ni hulka zao, kua lazima waonje onje kila kipitacho, haimaanishi hakupendi. Ila ukizembea, atapenda kule zaidi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Namba 13 nitakushushia kipondo kama mbwa mwizi...namba 14 utasoma namba!!!
Nauweza wapi
Kwani kila mtu kazaliwa akijua....? Nikujifunza tu...
Mara nyingi tulioolewa ndio wasababishaji kuwepo kwa nyumba ndogo. Hii inatokana na kujisahau wajibu wetu kwa mume.
Elimu na nafasi makazini zimechangia sana kujisahau. Unashindwa kunyenyekea maana una kipato sawa au wakati mwingine unamzidi mumeo. Hii inakujengea fikra potofu kua "hata mimi ninazo"
Kazi zako zote kwa mume anafanya dada. Uko busy pia. Baba akikosa attention yako obvious atatoka nje kufuata attention. Nyumba ndogo ikigundua hilo ni full kujitoa!
Wanaume ni kama watoto, kitu kidogo sana chaweza kumkimbiza au kumrudisha kwake, walioolewa tuwe waangalifu kwenye hili.
Degree yako na cheo chako acha getini kwako, ukiingia ndani vaa joho la mke wa kaizer. Utaweza. Hata kaizer akienda, hataweka makazi.
Ni hulka zao, kua lazima waonje onje kila kipitacho, haimaanishi hakupendi. Ila ukizembea, atapenda kule zaidi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kiruuuuu
I hate cheating ....!!
Yeah??? Pia una hate kuwa cheated??
Choice is yours......take care.
mmmh!
naona mambo ya michepuko yamehalalishwa kiasi kwamba tunajipanga kuishi nayo kama vile chronic diseases...
hakika sisi ndio sisi...
nauliza tu ivi nyumba ndogo ina vyumba vingapi?????
Duuuuh....mi hii elimu hainifai asilani kwa sababu sitegemei kujiunga na hiyo shule siku zote za uhai wangu eeh Mungu nisaidie.
Nini tena babe ake???