Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko sio dili wacheni usenge
Najisikia kupunjwa sana hii topic kuikutia mbali hivi!! Hata hivyo nimefaidi maushauri. Angalau na mimi niimarishe mchepuko wangu
Safi sana Filipo....at least umeonyesha kujali japo ni mchepuko...
Mmmmh.......🙄
Mchepuko sio dili wacheni usenge
Hebu njoo hiv nikuwambie kitu
Mara nyingi tulioolewa ndio wasababishaji kuwepo kwa nyumba ndogo. Hii inatokana na kujisahau wajibu wetu kwa mume.
Elimu na nafasi makazini zimechangia sana kujisahau. Unashindwa kunyenyekea maana una kipato sawa au wakati mwingine unamzidi mumeo. Hii inakujengea fikra potofu kua "hata mimi ninazo"
Kazi zako zote kwa mume anafanya dada. Uko busy pia. Baba akikosa attention yako obvious atatoka nje kufuata attention. Nyumba ndogo ikigundua hilo ni full kujitoa!
Wanaume ni kama watoto, kitu kidogo sana chaweza kumkimbiza au kumrudisha kwake, walioolewa tuwe waangalifu kwenye hili.
Degree yako na cheo chako acha getini kwako, ukiingia ndani vaa joho la mke wa kaizer. Utaweza. Hata kaizer akienda, hataweka makazi.
Ni hulka zao, kua lazima waonje onje kila kipitacho, haimaanishi hakupendi. Ila ukizembea, atapenda kule zaidi
Hebu njoo hiv nikuwambie kitu
Napita tu....nina ngeu usoni, mume wa mtu ni sumu.
Utajifunza pooole pole 😀😀
maziwa yapo mwenza
Mdomo wenyewe umekatika vipande, maziwa nitayanywaje mwenza?
Bado nawe likukute
Sio lazima kuchangia!