Kwenu mnaotaka kusoma degree nje ya nchi kwa malengo ya kuajiriwa Tanzania, Kama chuo hakina umaarufu ni bora usome hapa hapa, Utateseka !

aa$#6
Sawa ,Mm naweza nisiajiriwe na Serikali ya Tanzania kupitia labdah Ajira portal ila nikaajiriwa na taasisi binafsi,International organization Zipo mbona tunaona watu wanaajiriwa mkuu ....Hivo concept yangu inakuja hapo Hatakama TCU wakinikataa ila chuo ni best naenda kusoma ....Unaposema zayon hio ni College sisi tupo kwenye mada ya Chuo huoni kuwa unachanganya madesa
 
Weka data twende kwa hoja zenye data sio kubumbabumba kwa hisia tu.
 
Naposema Zayuni and the like namaanisha vyuo vya hovyohovyo dogo wewe mzito sana.Kwani hukusoma FASIHI???

📌📌📌Ukiona mpaka CUTOFF POINTS za TCU zinakupiga chenga huko PRIVATE na International Org ili upenye labda uwe na ndugu yako tena upande wa mamako ndo ataweza kukubeba🤝
 
Nauli 2M.
Ada 10M/yr I assume huko Asia.
Accomodation 7M.

Unamaliza unarudi bongo kulipwa laki5 kwa mwezi, hiyo pesa bora ungefanya mtaji tu kufanya mambo mengine. Kusoma nje kwa kujilipia ili urudi bongo ni kuchezea rasilimali.

kama huendi America na Ulaya bora kusoma bongo tu kwa wanachuo hasa wa kujilipia.
 
Fanya research yako upya

Vyuo vingi Asia watanzania wanakimbilia kwasababu ya ada nafuu kama bongo,

Ulaya na Marekani ada na accomodation zipo juu
 
Fanya research yako upya

Vyuo vingi Asia watanzania wanakimbilia kwasababu ya ada nafuu kama bongo,

Ulaya na Marekani ada na accomodation zipo juu

Usafiri, accomodation, ada nk bado umalize uje kugombaniana mshahara wa laki4 na watu waliosoma Muccobs. Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali. Huko Asia michosho tu.
 
Usafiri, accomodation, ada nk bado umalize uje kugombaniana mshahara wa laki4 na watu waliosoma Muccobs. Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali. Huko Asia michosho tu.
Hujaona kitu mkuu, hapa bongo gharama za kusomea degree almost milioni 10 hadi 15, watu wanapambania ajira hizo hizo na wapo wengi wanaotoka watupu
 
Hujaona kitu mkuu, hapa bongo gharama za kusomea degree almost milioni 10 hadi 15, watu wanapambania ajira hizo hizo na wapo wengi wanaotoka watupu

Chuo gani bongo ada 15M kwa mwaka labda useme 4yrs? Nje hiyo ni kwa mwaka tu, USA na Ulaya hiyo hata semester haitoshi.

USA na Ulaya have lots more to offer. Scholarship na kazi zipo ukiwa shuleni na hata ukimaliza na Mishahara minono. Asia you're most certainly going back home ukimaliza right away, wenyewe tu hawana kazi na wanalipana peanuts.

Me nawaambia watu kila siku kama huwezi kwenda USA/Europe basi baki bongo usijisumbie kwenda huko vichakani Malaysia, Philippines, Thailand sijui hata China hailipi when it comes to education kwa wageni. Huu ndo uhalisia.
 
Ada ya degree - milioni 1.5 kwa miaka 3 milioni 4.5 (Hio ni kwa kozi za kawaida, kozi za computer, engineering zinafikia ada 1.8+, udaktari ni gharama zaidi)

Pocket money - 250,000 kwa mwezi tisa kwa miaka mitatu milioni 6.7

Hostel laki 5 kwa mwaka, kwa miaka mitatu ni milioni 1.5

Usafiri mabasi ya mikoani unaweza fikia laki 5 kwa likizo za kati, likizo za kumaliza mwaka, kurudi chuo, dharura, n.k.

JUMLA MILIONI 13
 

Ukisoma nje fanya *5 kila kitu. Airfare peke yake atleast $1000 hakuna basi la Kimbinyiko la kwenda huko.

Ada inaweza zidi 10M kwa mwaka sio miaka minne kama bongo. US/Europe ni zaidi ya hapo kwa semester tu.

Narudia yale yale, kusoma Asia ni kupoteza nguvu na muda. Kusoma Asia hadi umalize afu urudi kugombania mshahara laki4 na watu wa TEKU ni kuchezea rasilimali. Siwezi mshauri mtu yeyote kwenda kusoma huko. Shoot for the stars au baki bongo.
 
Kwa vyuo vingi vya asia kinacho cost zaidi ni gharama za ndege tu, ada na gharama za maisha vimefanana au vinazidiana kidogo hasa kwa wale wanaoishi hostel.

Ila kwenda kusoma asia labda uwe na connection vinginevyo baki bongo

Wanaosoma Marekani / Ulaya wengi wao wanapambana wabaki huko huko, Kazi zipo nyingi kama una vyeti na umesomea kitu chenye soko
 
Wewe upo nje ya Tanzania muda mrefu huwezi kuelewa hali inavyoendelea

Majuu hali ni tofauti kuna system inayoeleweka
Sijakubali wala kukataa hoja, nimetaka twende kwa data zaidi, sio kubumbabumba kwa hisia tu.
 
Sijakubali wala kukataa hoja, nimetaka twende kwa data zaidi, sio kubumbabumba kwa hisia tu.
Data in which country my friend, Huku sio ulaya kusema kila kitu data zitakuwa published, huwa ni ku observe, kusikiliza testimonies za wahusika, n.k.
 
Data in which country my friend, Huku sio ulaya kusema kila kitu data zitakuwa published, huwa ni ku observe, kusikiliza testimonies za wahusika, n.k.
Sasa utajuaje unachoona wewe ni kweli kiko hivyo au kina observational bias tu ambayo hujaijua?
 
Ni upumbavu kuingia gharama za kusoma chuo ili uajiriwe. Mwisho wa kunukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…