round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
- Thread starter
-
- #61
Familia nyingi kwa mentality ya Tanzania zinasomesha watoto kwa lengo la ajiraNi upumbavu kuingia gharama za kusoma chuo ili uajiriwe. Mwisho wa kunukuu.
Ww ndo mgumu kuelewa,Sipendi unavotumia Jina kuwa mm mgumu kuelewa tuheshimiane katika hilo....Sema vyuo vya Hovyo usikimbilie kusema chuo flani cha hovyo,wapo wanaofanikiwa huko huko mnaposema pa hovyo ...Naposema Zayuni and the like namaanisha vyuo vya hovyohovyo dogo wewe mzito sana.Kwani hukusoma FASIHI???
📌📌📌Ukiona mpaka CUTOFF POINTS za TCU zinakupiga chenga huko PRIVATE na International Org ili upenye labda uwe na ndugu yako tena upande wa mamako ndo ataweza kukubeba🤝
Dogo huna akili.Unaonekana unaabudu sana mambo ya bahati🤗🤗🤗.Utakuwa mfuasi wa mwamposa.Ww ndo mgumu kuelewa,Sipendi unavotumia Jina kuwa mm mgumu kuelewa tuheshimiane katika hilo....Sema vyuo vya Hovyo usikimbilie kusema chuo flani cha hovyo,wapo wanaofanikiwa huko huko mnaposema pa hovyo ...
Nimekuelewa vema tu...Hapo pa TCU CUT off point ngoja ninyamaze maana unaweza kuwa ubishi wa mwaka mfano kama wachezaji wa Singida Big Stars walipata Uraia Kimadesa desa sembuse TCU(fanya utafiti wako)
La mwisho ukiwa unajibu hoja Jibu kulingana na mada sio mara uhusishe mzazi,mara Mwili nenda kwenye mada
Ukiwa umeajiriwa sehemu unawaona wasio ajiriwa kama wajinga. Kama elimu yetu ina ubora unaotakiwa kwa vigezo, basi hata maisha yetu yange akisi ubora huo.Hatuelewani maana nahisi hujui unachozungumza ila unaenergy ya kubishana😀
Labda nikusaidie bwana mdogo.Sababu zitakazo pelekea TCU wakukatalie ni;
1.UBORA WA CHUO.Nchi yetu hata kama ni masikini na tupo thadi wadi😀😀hatuwezi kuruhusu product za ZAYUNI NA AMAZON kutoka nje kuja kutuletea impaired education and skills🤝
2.HUNA VIGEZO VYA KUSOMA DEGREE KATIKA NGAZI YA KITAIFA.Ikiwa hujafikisha CUTOFF POINTS ya principal pass mbili kwa advance level au GPA ya 3.0 kwa equivalent entry. TCU hawawezi kukuruhusu ukasome maana huna vigezo......period!!!
📌📌📌Kwahiyo mtu yoyote aliyekataliwa kupewa barua ya uthibitisho ujue ana kimoja au vyote katika hizo sababu hapo juu.Sawa bwana mdogo.
Kimsingi umekubaliana na mtoa mada. Ulichofanya ni kutoa ufafanuzi tuMtoa mada punguza Misinformation.Hiyo habari ya kuangalia jina la chuo ni ushamba ambao saivi umepatiwa ufumbuzi.
Kwa sasa mtu ukitaka kwenda kusoma nje ya nchi itakupasa upite TCU na kwenye baraza lako la taaluma kama unachosomea kina regulatory board.Ukifika huko TCU watakupa go ahead kuwa wanakitambua chuo au laa.
📌📌Mambo ya kwenda kusoma nje kichwa kichwa huku hujui step za kufata ndio hao wameenda kusoma ZAYUNI NA AMAZON COLLEGES za huko nje ya nchi ila wanaficha ukweli na kusingizia yakwamba kusoma nje ya nchi ni kisanga.Huo ni uwongo.
📌📌📌Vijana mkasome acheni uwoga!Cha muhimu uwe na right information na uwende at a right institute huko nje ya nchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usafiri, accomodation, ada nk bado umalize uje kugombaniana mshahara wa laki4 na watu waliosoma Muccobs. Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali. Huko Asia michosho tu.