round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
- Thread starter
- #61
Familia nyingi kwa mentality ya Tanzania zinasomesha watoto kwa lengo la ajiraNi upumbavu kuingia gharama za kusoma chuo ili uajiriwe. Mwisho wa kunukuu.
Mtoto akienda kwa mzazi wake amwambie hata akisoma hakuna haja ya kuajiriwa nakuhakikishia mzazi hatoi senti