Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
daa, mkuu hiinnilikuwa sijui huwa nachemsha na kubugia tu kama kuzipa counterattack malaria.Mwarobaini ukichemshwa ni sumu... itaua ini lako. Mwarobaini usichemshwe
Mwarobaini upondwe na uloweshwe kwenye maji masaa 12 Ndipo unywewe ili kuleta matokeo mazuridaa, mkuu hiinnilikuwa sijui huwa nachemsha na kubugia tu kama kuzipa counterattack malaria.
mkuu ushauri huu nauchukua bila nyongeza.Mwarobaini upondwe na uloweshwe kwenye maji masaa 12 Ndipo unywewe ili kuleta matokeo mazuri
Damu ya YesuHasa hasa napenda kuulizia dawa moja nasikia iko huko Bukoba inatibu magonjwa mengi sana wenyeji wa huko mtaniambia, Lakini kikwetu dawa matata bingwa wa yote ni mwarobaini
Karibuni
Damu ya Yesu
Mwarobaini ukichemshwa ni sumu... itaua ini lako. Mwarobaini usichemshwe
KweTu mwarobaini tunautumia kurogea. Kama unataka kumroga mtu ili maisha yake yawe machungu basi unatumia mwarobaini.Hasa hasa napenda kuulizia dawa moja nasikia iko huko Bukoba inatibu magonjwa mengi sana wenyeji wa huko mtaniambia, Lakini kikwetu dawa matata bingwa wa yote ni mwarobaini
Karibuni
Mwarobaini ukichemshwa ni sumu... itaua ini lako. Mwarobaini usichemshwe
Kwe
KweTu mwarobaini tunautumia kurogea. Kama unataka kumroga mtu ili maisha yake yawe machungu basi unatumia mwarobaini.
Habari mkuu. Mimi natumia majani ya msongwa kutibu taifodi ni mwaka 3 sasa sijatumia cipro, UTI majani ya rozela(juisi) na asali, magonjwa mengine yote natumia habbat soda ya unga, maji safi ya kunywa kutibu maumivu ya kichwa na tumbo, limao kutibu kiungulia kikali (heart burn)
anayejua dawa ya ngiri
Umenifikirisha, niwe mkweli sifahamu ila ninapata msaada wa swali hili! Vipi kuhusu mwarobaini unaujuaje kama dawaanayejua dawa ya ngiri
Ngiri kwa mtoto au mtu mzima.
Mwarobaini ni dawa inayotibu magonjwa mengi, ila inapochemshwa inakuwa na sumu nyingi ambazo ni hatari sana kwa afya ya figo na ini lako, ndio maana unashauriwa uutwange, kisha uuloweke kwenye maji kwa masaa 12Nashukuru kwa kujibu uzi wangu maana nilishasahau, je ni dawa au sio, vipi kuhusu kuchemsha kwa nini inakua vibaya.
Asante
Mwarobaini ni dawa inayotibu magonjwa mengi, ila inapochemshwa inakuwa na sumu nyingi ambazo ni hatari sana kwa afya ya figo na ini lako, ndio maana unashauriwa uutwange, kisha uuloweke kwenye maji kwa masaa 12
Sijui chanzo cha kiungulia ni nini, Ila Dawa ya kiungulia ni MAGADI(Sijui kitaalamu yanaitwaje), Ila lamba kiasi kidogo sana, muda huo huo unapona.Mkuu kiungulia nacho ni tatizo ninaomba wataalamu watusaidie kinasababishwa na nini, mimi nilichokariri ni viazi vitamu tu? Ila naona mwarobaini ni dawa nzuri, hata mlonge nasikia ila sijajaribu!
Sijui chanzo cha kiungulia ni nini, Ila Dawa ya kiungulia ni MAGADI(Sijui kitaalamu yanaitwaje), Ila lamba kiasi kidogo sana, muda huo huo unapona.