Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Hasa hasa napenda kuulizia dawa moja nasikia iko huko Bukoba inatibu magonjwa mengi sana wenyeji wa huko mtaniambia, Lakini kikwetu dawa matata bingwa wa yote ni mwarobaini
Karibuni
Karibuni