Kwenu mnatumia dawa gani za asili kutibu magonjwa

Kwenu mnatumia dawa gani za asili kutibu magonjwa

majani machanga ya mpera unatwanga na kuchujia maji yake pamoja maji safi na salama kisha unakunywa au unayachemsha kwa dakika tatu hadi tano kisha unakunywa maji yake.....inasaidia sana tatizo la kuumwa tumbo na kukata kuharisha.
 
Aisee mimi ni tangawizi kila siku lazima ninywe juice ya tangawizi glass moja i mean tangawizi mbichi naiponda then na mix na maji kikombe kimoja then nakunywa huo ni utaratibu wangu wa kila siku
 
Kunywa maji mengi,matunda,mboga za majani,kitunguu saumu karibu katika mboga, tangawizi na limao,Nina miaka 20 sijawahi kuumwa ugonjwa wowote hata Mafia.
 
Kunywa maji mengi,matunda,mboga za majani,kitunguu saumu karibu katika kila mboga, tangawizi na limao,Nina miaka 20 sijawahi kuumwa ugonjwa wowote hata Mafia.
 
Tatizo la kukosa uwezo wa kutungisha mimba nipeni dawa
 
Back
Top Bottom