Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
bujibuji vipi?
Umeanzaje kufuata watoto wa ushuani? We si ndio kila siku huwa unausifia utamu wa kuku wa kienyeji?
Sasa imekuaje umefuata kuku wa kisasa tena aliyekaa muda mrefu kwenye friji?
Nakushauri tu urudi kwenye walewale wa uswahilini kwenu, huko uzunguni utafeli kwa kuwa huna viwango.
hivi mwaka 2011 kila memba amebadili avatar yake?? Ngoja na mimi nifanye mchakato
happy new year buji...
Ngoja niongoze misa ya asubuhi kwanza, will be back
Chokoleti gani mkuu?
Mtundu sana wewe mzee, mara hii umesha mkimbizia mtoto wa watu kitandani?
Kiranja mkuu ana matatizo yake.
Huyo sio wangu, labda kama ni wa kwake.
Wangu yuko moyoni, nausubiri kwa hamu muda muafaka utimie ntawatambulisheni.
Ngoja kwa sasa nizishinde hofu za tofauti zetu.