Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwetu uswahilini, kwenu ushuani.
Kwetu kitambi dili, kila mtu anajua una hela.
Kila msichana atataka kuwa na wewe.
Kwenukitambi kero na udhia, eti mnalipa mahela kibao jim kukiondoa.
Kwetu tunakula kila tukionacho, nyie mnachagua vyakula eti mnamentain figa.
Kwetu msomi kaishiakidato cha sita, kwenu mbumbumbu ndio kahitimu digirii yake ya kwanza.
Tuna tofauti nyingi sana, je haya mapenzi kati yetu yaweza kudumu?