Kwenu ninyi Feminist uchwara

Feminist wengi wao ndoa zimewashinda, unakuta amezaa watoto kila mtoto na baba yake katika hao watoto unakuta hata wengine baba zao hawajulikani, mtoto anatumia ubini wa mama yake kwa sababu baba yake hajulikani......hawa wanawake wa aina hii kwanza huwa wanakuwa na chuki na wanaume halafu wanakuwa na wivu na ndoa za wanawake wenzao, kwa hiyo huwa wanafanya kila kitu ili kuwaharibu wenzao na kama haitoshi huenda mbali zaidi kwa kufikia kuwaonea wivu hata watoto wanaozaliwa kwenye ndoa...
 
Wapambane na hali zao,wao kila sentensi anayoongea lazima aanze na 'yani wanaume',hatrage imewajaa wanashindwaga hata kuficha hisia zao...
 
lamba K-VANT ndogo hapo kibanda cha mangi nakuja kulipa!!!
 
Feminist wengi wanatembea na maumivu mioyoni mwao, yaani wanavidonda ndugu visivyopona katika mioyo yao vilivyosababishwa na mahusiano mabovu waliyoyapitia hapo nyuma.....MWANAUME YEYOTE YULE KUWA MAKINI UNAPOKUWA KARIBU NA FEMINIST HAWA NI WATU WENYE ROHO MBAYA NA WALIISHAHARIBIKIWA NA MAISHA MUDA WOWOTE WANAWEZA KUUWA AU KUFANYA KITU KIBAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…