bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ndoa Sio lazima Kama ukujaliwa feminist waache kupotosha waliobahatika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutawanyoosha tu mbona hawa watu ni wepesi sana tena zaidi ya unyoya wa kukuKazi ipo
HahahahaWanawake live
sithubutu kulipa chochote kwaajili ya lile dude mimiWanaume wengine wameshaaza kuwalipa wake zao mshahara. Ni suala la muda tu hata wewe utaanza kumlipa mke wako.
Jidanganye hivo hivoWanaume wengine wameshaaza kuwalipa wake zao mshahara. Ni suala la muda tu hata wewe utaanza kumlipa mke wako.
Hahahahahahaha,dah ,ila kweli wengi wako hvNinachowapendea ma feminist hawaombagi hela ya vocha Wala taxi, ukimaliza kumkung'uta mnaachana mlangoni mwa lodge. Akipiga simu ujue anawashwa lkn sio vocha.
Hata uwalipe kiasi gani cha fedha hawataridhika,wana wivu watakuja wakuue.Hv tukianza kuwalipa maanake mahari hatutoi, kuchepuka ni haki yangu, kurudi Leo au kesho ni mm tu niamue na pia hatakua na chochote Cha kurithi namtreat kama beki tatu tu