mungu?????Sema mungu
Nakukumbusha; Ukitaka Kuruka Agana Na Nyonga
Ukijilipua Pm We Lipuka Tu Ndugu Yangu Utakayo Yakuta Ndio Yaliyomo
Mbona mm ni nibi tukinao mwisho wa mwaka natimiza miaka yangu 55Bila kujipima unaweza kutana na bibi kidude humu
Wooiii bi kidude mwenzanguππMbona mm ni nibi tukinao mwisho wa mwaka natimiza miaka yangu 55
Huwa najilipua tu, then nitakacho kutana nacho huko PM inabaki kuwa siri yangu na hata kama ana sura ya baba, huwa navumilia tuWee hua unafanya nink
Siwezi nakukubali na uzee wakoUsinikimbie tuu jomonii my Vein..[emoji85][emoji85]
Ndio mana nakupenda kk miaka ya mtu inakuhusu nn kwa mfano na ili ugundue nini
Ooh hallelujah..Siwezi nakukubali na uzee wako
Uwe na amani
Anaogopa kumtongoza bibi yake!Sasa miaka yangu wewe inakuhusu nini mkuu
Ooh hallelujah..
TumekusikiaIfike mahali muwe wawazi kila baada ya mda naona mnajipongeza mara hapy b.day to mee kwenye status mnaandika "asante mungu kwa kunifikisha miaka kadhaa'hapo hamsemi miaka hiyo mliofika mnaficha,kwani mkiwa wawazi kuna shida gani mkisema asante mungu kwa kunifikisha miaka labda 40.. 45..48 au 50 na kuendelea ?
Kuweni wawazi ili sisi wanaume tunapotaka kuja pm tuwe tunajua huyu ni mtu mzima mwenzetu au ni bibi yetu au ni mama yetu ili isijekuwa tunatongoza bibi zetu humu bila kujua.
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UMRI inakuwaje privacy!Umri was mtu ni privacy yake
Siyo lazima atangaze hadharani akishamshukuru Mungu inatosha...Siyo lazima atutangazie ss
Kama unataka kwenda pm we nenda itapendeza kama utauliza umri huko pm pia
Nakupenda Pia Mama.Ndio mana nakupenda kk miaka ya mtu inakuhusu nn kwa mfano na ili ugundue nini