Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee huogopi
Yani Kama Mimi Nina miaka 25 mwakani pia 25Aisee kwa hiyo nyie siku zote ni ma miss
Mkuu shunie nashukuru nimeziona emoj jumbe ilikuwa nibadili tuu kwenye key bord ya cm .
Wooiii bi kidude mwenzangu[emoji23][emoji23]
Huwa najilipua tu, then nitakacho kutana nacho huko PM inabaki kuwa siri yangu na hata kama ana sura ya baba, huwa navumilia tu
We hata uwe bibi nikikukamata utajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinikamata utanipiga ngwala nianguke unikule kisha nikufwe
Nakupenda Pia Mama.
Umri Wanatumia Madaktari Kukupangia Dose😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23]haukufwi
Forever young 😂😂😂😂😂Yani Kama Mimi Nina miaka 25 mwakani pia 25
Nikue ili nigundue nini sasa?? Forever 25.. HahahaaForever young [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa mshipa na uzee huo shogaangu 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima nikufwe wewe hapana jamani
Unaogopa mshipa na uzee huo shogaangu [emoji23][emoji23][emoji23]