Hee huogopi
Yani Kama Mimi Nina miaka 25 mwakani pia 25Aisee kwa hiyo nyie siku zote ni ma miss
Mkuu shunie nashukuru nimeziona emoj jumbe ilikuwa nibadili tuu kwenye key bord ya cm .
Wooiii bi kidude mwenzangu[emoji23][emoji23]
Huwa najilipua tu, then nitakacho kutana nacho huko PM inabaki kuwa siri yangu na hata kama ana sura ya baba, huwa navumilia tu
We hata uwe bibi nikikukamata utajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinikamata utanipiga ngwala nianguke unikule kisha nikufwe
Nakupenda Pia Mama.
Umri Wanatumia Madaktari Kukupangia Doseππ
[emoji23][emoji23][emoji23]haukufwi
Forever young πππππYani Kama Mimi Nina miaka 25 mwakani pia 25
Nikue ili nigundue nini sasa?? Forever 25.. HahahaaForever young [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa mshipa na uzee huo shogaangu πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima nikufwe wewe hapana jamani
Unaogopa mshipa na uzee huo shogaangu [emoji23][emoji23][emoji23]