Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Tatizo vijana wa .com wameharibiwa na utandawazi. Yaani hata kuzoza tu, kwao wanaona eti ni mada kabisa..... na wana andika na uzi kabisa....tehteehhHuo ndio uanaume sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo vijana wa .com wameharibiwa na utandawazi. Yaani hata kuzoza tu, kwao wanaona eti ni mada kabisa..... na wana andika na uzi kabisa....tehteehhHuo ndio uanaume sasa
Hivi unaonaje JF wakaweka hiki kipengele cha umri hadharani kwenye page za wadada km jinsi walivyoweka majina & lini alijiunga?Kabisa tena na ndio maana baada kujuana na watu baadae story hazipandi tena.
Sasa kama ni siri analeta mtandaoni ili iweje?Umri was mtu ni privacy yake
Siyo lazima atangaze hadharani akishamshukuru Mungu inatosha...Siyo lazima atutangazie ss
Kama unataka kwenda pm we nenda itapendeza kama utauliza umri huko pm pia
Hahahhhaa naanzaje mm jamani kwahiyo ww unataka kunibaka eenh basi nipe mahela basi mengiii mengiiii
Khaaaa basi nakuachia ww
Eiiish hilo ni swali kweliHahaha unataka mihela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eiiish hilo ni swali kweli
Hapo kwenye mahela sasa!Eiiish hilo ni swali kweli
Akuchukue tu
Daaah...!Ifike mahali muwe wawazi kila baada ya mda naona mnajipongeza mara hapy b.day to mee kwenye status mnaandika "asante mungu kwa kunifikisha miaka kadhaa'hapo hamsemi miaka hiyo mliofika mnaficha,kwani mkiwa wawazi kuna shida gani mkisema asante mungu kwa kunifikisha miaka labda 40.. 45..48 au 50 na kuendelea ?
Kuweni wawazi ili sisi wanaume tunapotaka kuja pm tuwe tunajua huyu ni mtu mzima mwenzetu au ni bibi yetu au ni mama yetu ili isijekuwa tunatongoza bibi zetu humu bila kujua.
Ni wengine sio shunie mm eti nisipende mahela naanzaje ebu uko[emoji23][emoji23][emoji23]wengine hawapendi hela ujue
Tena mengi mengiHapo kwenye mahela sasa!
Kwahyo unanigawa sio?