Uliuona wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nauogopa nitakuwa nauangalia tu
Wadanganue wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm si mjukuu wa shekhe yahya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we chizi kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sio wewe uliyemuunda shunie wako
Sawa cheupe dawa
Unaogea maji ya uhai nini?
Ngoja nimuambie mwanangu akutafutieTena mengi mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi maraa paap tunaonana na ucheusi mangala wangu utanikimbia au
Wala maji ya bomba tu kitu kinateleza mwilini
[emoji23][emoji23] Chizi kidogo tu sio sana
Ngoja nimuambie mwanangu akutafutie
Naanzaje kumkimbia mrembo
Hahaha kitu original
Na ucheusi mangala wangu mshipa mana uko umeshamuunda shunie wako
Uanze tu kuwa mweusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani nisiweze
Labda ujipake masizi kama mganga wa kienyeji
[emoji23][emoji23]
Mwehu wewe