Kwenu nyie wanawake: Kuachana haimaanishi uhasama!

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,258
Reaction score
1,416
Katika pitapita zangu nimekutana na hii imenifurahisha sana.
Kumbe kama ukiachwa haimaanishi ulete uhasama.
Nadhani huu ni ujumbe mzuri sana hasa kwa akina dada.

Nisishambuliwe tafadhal!

 

Attachments

  • mandela.jpg
    4.7 KB · Views: 99
Uhasama hautakuwepo kama uko busy na maisha yako kuolewa na kuachwa ni jambo la kawaida sio jambo Zuri unapoachana na mwenzio,lakini nilazima usonge mbele na hakuna haja yakufatiliana unatakiwa uji weke busy na maisha yako na usome kutokana na makosa yalokufanywa muachana,
 

Sawa, lakini wapo mabinti wengine mkiachana ndo hata salamu hakuna. Kama mna watoto anawafundisha wakuchukie. Kwa hiyo hili ni somo tu kuwa mnapoachana ni kwamba sera zenu hazija-match lakini sio sababu ya kuwekeana bifu.
 
Nikiongeza hapo nitatibua mambo.
 
kama aliniibia je? Lol...(just kidding mtu ataibwaje bila matakwa yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…