Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhasama hautakuwepo kama uko busy na maisha yako kuolewa na kuachwa ni jambo la kawaida sio jambo Zuri unapoachana na mwenzio,lakini nilazima usonge mbele na hakuna haja yakufatiliana unatakiwa uji weke busy na maisha yako na usome kutokana na makosa yalokufanywa muachana,
Nikiongeza hapo nitatibua mambo.Uhasama hautakuwepo kama uko busy na maisha yako kuolewa na kuachwa ni jambo la kawaida sio jambo Zuri unapoachana na mwenzio,lakini nilazima usonge mbele na hakuna haja yakufatiliana unatakiwa uji weke busy na maisha yako na usome kutokana na makosa yalokufanywa muachana,