KERO Kwenu Tanesco: Tangu jana nimeshindwa kununua umeme, hela imekatwa ila sijapata Token

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
4,068
Reaction score
3,884
Tangu jana nimeshindwa kununua umeme kupitia Airtel na Halotel. Airtel nimekatwa hela na sijapata token. TANESCO shughulikieni tatizo hili tunalala gizani hela ya kununua umeme tunayo.
 
Nasikia zaidi ya umeme unaozalishwa unapotea kwa ajiri ya miundo mbinu ya hovyo 👎
 
Kuangalia salio kwa CIU yako inakubali?

Mie iligoma pote hadi kwa mawakala,nikapiga huduma kwa wateja wakaomba namba ya mita,nikaambiwa CIU yangu ya kubadilisha.
 
TANESCO

Tunaomba ufafanuzi kuhusiana na hii changamoto.
Mrejesho: Nimepiga simu customer service hatimaye nimempata mhudumu ambaye kanieleza kuna deni la jengo ambalo sijalipa zaidi ya mwaka (sijui waliniruhusu kununua vipi umeme siku zote hizo) hivyo wamelifufua na nisinunue umeme chini ya kiwango fulani ili kulipa deni hilo. Baada ya kufanya hivyo nikafanikiwa kupata token.
 
Hapo sawa umesomeka mkuu.
 
Tangu jana nimeshindwa kununua umeme kupitia Airtel na Halotel. Airtel nimekatwa hela na sijapata token. TANESCO shughulikieni tatizo hili tunalala gizani hela ya kununua umeme tunayo.

Hapo sawa umesomeka mkuu.
Habari Chief.

Tunafurahi kufahamu kuwa umefanikiwa kupata huduma kuhusu suala lako. Endapo utahitaji msaada zaidi au utapata changamoto nyingine yoyote, tafadhali usisite kuwasiliana nasi.

Asante na karibu sana! ^FL
 
Tanesco na NMB mnatutesa sana hatuwezi nunua umeme na unit zimeisha

Walionunua hawajapa Token Hadi leo
Habari, ndugu mteja.

Pole sana kwa changamoto unayopitia. Tafadhali tutumie namba ya mita yako ili tuweze kufanya ufuatiliaji na kukupatia msaada zaidi.

Asante! ^GK
 
Nikinunua umeme token haijaja nafanyaje, maana hapo hata nikiomba last tiken
 
Tangu jana nimeshindwa kununua umeme kupitia Airtel na Halotel. Airtel nimekatwa hela na sijapata token. TANESCO shughulikieni tatizo hili tunalala gizani hela ya kununua umeme tunayo.
Piga simu halotel namba 100
 
Nikinunua umeme token haijaja nafanyaje, maana hapo hata nikiomba last tiken
Habari ndugu mteja,

Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tuandikie namba ya mita kwa msaada zaidi. ^MY
 
Back
Top Bottom