Ndo zao hizo. Wanakuvizia na ukiondoka tu wanakuja upesi na kupiga picha na tozo ya siku nzima.Habarini ndugu zangu, huu mfumo mpya wa Parking ni mzuri sana ila hawa watu mliowapa hizo mashine wanazitumia vibaya.
Ipo hivi, kuna kijana anaitwa Anthony yupo mtaa wa Swahili(Kariakoo) yeye likija gari haijalishi litakaa mda gani, yeye uscan ya siku nzima na tiketi haweki na wala hamwambii mwenye gari kama kali scan gari, kwa kifupi jamaa wakati wa kuli scan gari anaakikisha dereva hamuoni
Tarura bado wanafanya hii mpaka julai mosi ndivyo nilivyojibiwa. Ni kweli hawa vijana wanafanya kazi kwa kuvizia mno kuna mmoja juzi nilimwamboia wee ilikuwa bado dakika 2 ifike saa 12.00 jioni akadhani sipo ndani ya gari maana nilikuwa ndiyo napaki akakimbia . Kinachokera kuviziana na hakuna risiti yoyote kuonyesha unadaiwa yaani ni wizi wizi flani hivi.Tarura hawafanyi tena hiyo kazi
Waizi tu hao.Habarini ndugu zangu, huu mfumo mpya wa Parking ni mzuri sana ila hawa watu mliowapa hizo mashine wanazitumia vibaya.
Ipo hivi, kuna kijana anaitwa Anthony yupo mtaa wa Swahili(Kariakoo) yeye likija gari haijalishi litakaa mda gani, yeye uscan ya siku nzima na tiketi haweki na wala hamwambii mwenye gari kama kali scan gari, kwa kifupi jamaa wakati wa kuli scan gari anaakikisha dereva hamuoni.
Posta unaanza kupigwa parking charges toka saa 12 asubui mpaka 12 jioni. Waizi tu hao.Kusema amekuwekea kifurushi cha siku sio kweli maana walishakiondoa ila kiukweli wanakera sana tabia zao za kuvizia vizia pia gharama za parking fees ni kubwa sana ukipiga hesabu Mia tano kwa kila lisaa utakuta parking fees inazidi vibali vyote vya kwenye gari sijui walizingatia nini wakati wanapanga hizo bei
Imerudishwa Kwenye ManispaaTarura hawafanyi tena hiyo kazi
Nan akupe Lesen yake kirahis tu.... ifike mahali akili itumike badala ya kufanya mambo kienyeji. Kwa mfano, mfumo wao ubadilishwe iwe ni 2-factor authentication; iwe combination ya namba ya gari na driving license. Ni rahisi tu.
Nadhan Bado lipo kwenye transfer, so manispaa wataanza mwezi wa Saba.Imerudishwa Kwenye Manispaa
Wabunge wa chama gani na nchi gani mkuuParking wangeziondoa kwenye hospitali ,inauma sana.unamsubiria dactari au upo upasuaji mdogo unakuta bei kubwa ya Parking. Kwanini wabunge msitusaidie wananchi.
Wabunge wakusaidie tena? 🤣🤣🤣🤣🤣Parking wangeziondoa kwenye hospitali ,inauma sana.unamsubiria dactari au upo upasuaji mdogo unakuta bei kubwa ya Parking. Kwanini wabunge msitusaidie wananchi.
Basi watu waache kulialia; walipe parking za kubambikiwa.Nan akupe Lesen yake kirahis tu.