Kwa manunuzi niliyoyafanya sehemu hizi mbili tofauti ni bila shaka huyu asiyetumia EFD kuna uwezekano akakwepa kodi. Nimefurahi kuona hii risiti moja ya EFD inaonesha amount niliyochangia serikalini.
Hivi TRA wamekupata kweli? Lkn ungekuwa powa zaidi kama usingefuta hizo detail, maana kwa hapo huyo asiyetumia efd, umeendelea kumficha, hawawezi kumfuatilia