Kesho....no Pacome,no Aucho,no Guede!Kwanza kabisa nina furaha kwa matokeo ya mtani ya hapo Jana,
Pili maombi kwenda kwa uongozi wa klabu ya yanga, ambayo ni kuwahimiza wachezaji waendelee na spirit ileile bila kujali aina ya mpinzani.
Maana mpaka sasa yanga tuna advantage ya kua bingwa ila hatujawa mabingwa kwa tofauti ya point 7 huu ndo ukweli.
Isije ikawa tuna furaha ya kupitiliza tukasahau kwamba point saba kwa mechi ni chache sana ukipoteza game mbili na draw moja kwisha kazi. Tunarudi kwenye pressure upya.
Umakini mkubwa unatakiwa kwa sasa kuliko wakati wowote ule.
NAWASILISHA.
Sasa wajichanganye na hiyo rotation yao kama walivyojichanganya kwa Ihefu. Hii mechi Yanga inacheza na team tatu Namungo,Azam na Simba. Sasa mjichanganye mtatafuta cha kuwabebea wananchi. Kesho ni mechi muhimu ya kuwakatisha tamaa wanaotukimbiza panga full mkoko mpaka Namunguo ajinyee iwanjani[emoji1787][emoji1787]Kwanza kabisa nina furaha kwa matokeo ya mtani ya hapo Jana,
Pili maombi kwenda kwa uongozi wa klabu ya yanga, ambayo ni kuwahimiza wachezaji waendelee na spirit ileile bila kujali aina ya mpinzani.
Maana mpaka sasa yanga tuna advantage ya kua bingwa ila hatujawa mabingwa kwa tofauti ya point 7 huu ndo ukweli.
Isije ikawa tuna furaha ya kupitiliza tukasahau kwamba point saba kwa mechi ni chache sana ukipoteza game mbili na draw moja kwisha kazi. Tunarudi kwenye pressure upya.
Umakini mkubwa unatakiwa kwa sasa kuliko wakati wowote ule.
NAWASILISHA.
injinia hanaga huruma na sura za nyani...ngoja kesho uone mtu akila 5 pale kwaoKwanza kabisa nina furaha kwa matokeo ya mtani ya hapo Jana,
Pili maombi kwenda kwa uongozi wa klabu ya yanga, ambayo ni kuwahimiza wachezaji waendelee na spirit ileile bila kujali aina ya mpinzani.
Maana mpaka sasa yanga tuna advantage ya kua bingwa ila hatujawa mabingwa kwa tofauti ya point 7 huu ndo ukweli.
Isije ikawa tuna furaha ya kupitiliza tukasahau kwamba point saba kwa mechi ni chache sana ukipoteza game mbili na draw moja kwisha kazi. Tunarudi kwenye pressure upya.
Umakini mkubwa unatakiwa kwa sasa kuliko wakati wowote ule.
NAWASILISHA.
Ihefu ndo Singida Big Stars, kwahiyo usitegemee Yanga kupata changamoto kwa Ihefu awamu hii,wameshakuwa mtu na mdogo wakeSasa wajichanganye na hiyo rotation yao kama walivyojichanganya kwa Ihefu. Hii mechi Yanga inacheza na team tatu Namungo,Azam na Simba. Sasa mjichanganye mtatafuta cha kuwabebea wananchi. Kesho ni mechi muhimu ya kuwakatisha tamaa wanaotukimbiza panga full mkoko mpaka Namunguo ajinyee iwanjani[emoji1787][emoji1787]
Umeipatia wapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Naunga mkono hoja
View attachment 2927487
Kanitumia mdau from morogoro 😂Umeipatia wapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
And .....NO PROBLEMKesho....no Pacome,no Aucho,no Guede!
Wako wapi?And .....NO PROBLEM
Timu wagonjwa dhidi ya YangaSasa wajichanganye na hiyo rotation yao kama walivyojichanganya kwa Ihefu. Hii mechi Yanga inacheza na team tatu Namungo,Azam na Simba. Sasa mjichanganye mtatafuta cha kuwabebea wananchi. Kesho ni mechi muhimu ya kuwakatisha tamaa wanaotukimbiza panga full mkoko mpaka Namunguo ajinyee iwanjani[emoji1787][emoji1787]
Namungo anafungwa kesho.Sasa wajichanganye na hiyo rotation yao kama walivyojichanganya kwa Ihefu. Hii mechi Yanga inacheza na team tatu Namungo,Azam na Simba. Sasa mjichanganye mtatafuta cha kuwabebea wananchi. Kesho ni mechi muhimu ya kuwakatisha tamaa wanaotukimbiza panga full mkoko mpaka Namunguo ajinyee iwanjani[emoji1787][emoji1787]