Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Kwanza kabisa nina furaha kwa matokeo ya mtani ya hapo Jana,
Pili maombi kwenda kwa uongozi wa klabu ya yanga, ambayo ni kuwahimiza wachezaji waendelee na spirit ileile bila kujali aina ya mpinzani.
Maana mpaka sasa yanga tuna advantage ya kua bingwa ila hatujawa mabingwa kwa tofauti ya point 7 huu ndo ukweli.
Isije ikawa tuna furaha ya kupitiliza tukasahau kwamba point saba kwa mechi ni chache sana ukipoteza game mbili na draw moja kwisha kazi. Tunarudi kwenye pressure upya.
Umakini mkubwa unatakiwa kwa sasa kuliko wakati wowote ule.
NAWASILISHA.