Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kwa maisha haya haya [emoji119][emoji119]Siku hizi Nondo moja elfu 40 hadi 46 daaah!
Kabisa shida wanaliongoza Taifa hili ndio uwezo hawana pumzi imekata hawana tena uwezo, tuna enda enda tu hatujui tutafikaje tunakoenda!Serikali isifanyie mchezo huu mfumuko wa bei madhara yake ni makubwa sana kwa Taifa!!!
Bomba moja ya chuma ya urefu wa 5.8m yenye diameter inchi 1.5 ni 67, 000 ile ya inchi 2 ni 87,000 Waziri bado hajui nini chanzo. Sasa hivi ukiingiza vitu kupitia bandarini unatoa na hela ya reli, ya umeme vijijini, na gharama kibao. Hii inchi hawana mbinu mbadala ni bandarini tu.Price inflation in construction!
1. Cement -twiga 13% increase
2. Nondo- 10mm - 39% increase
3. Nondo -12mm -25% increase
4. Bati za kawaida - 21% increase
And many more
I agree price volatility is a thing but these are not sustainable!
% are according to Arusha prices
Ata mwaka jana mwanzon nondo mm 12 ilikuwa 22k.Nikikumbuka 2015 kurudi nyuma kule nilikuwa nikinunua nondo 12mm kwa 20,000/- sasa nakuta ni 27,000/- Bando bati za kawaida zile 250,000/- sasa 380,000/-, misumari imepanda jero kwenye kila kilo, cement imepanda 3500/+ au zaidi kwa mfuko hapo bado makato kwenye miamala ya simu.
Nikifikilia tulipi na tuendako nachoka sana aisee nabado hali inazidi kuchanganya tutafanyaje!...?