Kwenu vifaa vya ujenzi vikoje uko? Maana nikivuta picha ya nyuma na sasa kuna mahali tumekwamba kama Taifa!

Kwenu vifaa vya ujenzi vikoje uko? Maana nikivuta picha ya nyuma na sasa kuna mahali tumekwamba kama Taifa!

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Nikikumbuka 2015 kurudi nyuma kule nilikuwa nikinunua nondo 12mm kwa 20,000/- sasa nakuta ni 27,000/- Bando bati za kawaida zile 250,000/- sasa 380,000/-, misumari imepanda jero kwenye kila kilo, cement imepanda 3500/+ au zaidi kwa mfuko hapo bado makato kwenye miamala ya simu.

Nikifikilia tulipi na tuendako nachoka sana aisee nabado hali inazidi kuchanganya tutafanyaje!...?
 
Serikali isifanyie mchezo huu mfumuko wa bei madhara yake ni makubwa sana kwa Taifa!!! BOT gavana LUOGA apumzishwe he does not have the wherewithal to handle this monster!!
 
Serikali isifanyie mchezo huu mfumuko wa bei madhara yake ni makubwa sana kwa Taifa!!!
Kabisa shida wanaliongoza Taifa hili ndio uwezo hawana pumzi imekata hawana tena uwezo, tuna enda enda tu hatujui tutafikaje tunakoenda!
 
Price inflation in construction!
1. Cement -twiga 13% increase
2. Nondo- 10mm - 39% increase
3. Nondo -12mm -25% increase
4. Bati za kawaida - 21% increase
And many more
I agree price volatility is a thing but these are not sustainable!
% are according to Arusha prices
 
Bomba moja ya chuma ya urefu wa 5.8m yenye diameter inchi 1.5 ni 67, 000 ile ya inchi 2 ni 87,000 Waziri bado hajui nini chanzo. Sasa hivi ukiingiza vitu kupitia bandarini unatoa na hela ya reli, ya umeme vijijini, na gharama kibao. Hii inchi hawana mbinu mbadala ni bandarini tu.
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
Nikikumbuka 2015 kurudi nyuma kule nilikuwa nikinunua nondo 12mm kwa 20,000/- sasa nakuta ni 27,000/- Bando bati za kawaida zile 250,000/- sasa 380,000/-, misumari imepanda jero kwenye kila kilo, cement imepanda 3500/+ au zaidi kwa mfuko hapo bado makato kwenye miamala ya simu.

Nikifikilia tulipi na tuendako nachoka sana aisee nabado hali inazidi kuchanganya tutafanyaje!...?
Ata mwaka jana mwanzon nondo mm 12 ilikuwa 22k.
 
Back
Top Bottom