Ndio wandaaji,nataka niwasimulie niliyopitia kisha wafanyie kazi kwenye filamu,ni maisha halisi niliyopitia lakini nikikusimulia utasema hadithi za kutungwaBila shaka unamaanisha Waandaaji wa filamu na sio waigizaji!
Btw, ni kwamba unatoa taarifa tu kwa wadau au unajaribu kuuza idea?
we me au ke!!kama me pita mbali..kama ke njoo pm tunaweza kufanya kitu!!Nina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.
Unajua maana ya LGBT?.Sijakuelewa ndugu
Nina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.
Wewe iandike kabisa storyNina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.
sasa we si unataka tufanye kazi ebu njoo PM..mbona unakuwa muoga??Upite mbali wewe au ME?