Kwenu wacheza filamu za kibongo

Kwenu wacheza filamu za kibongo

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
457
Reaction score
339
Nina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.
 
Biashara matangazo, watakuja tu na watakutafuta lakini nawe Fanya jitihada za kuwatafuta.
 
Uelezee utofauti wako wauangalie sasa!!...kama LGBT ni michezo toka enzi za Rumi
 
Bila shaka unamaanisha Waandaaji wa filamu na sio waigizaji!

Btw, ni kwamba unatoa taarifa tu kwa wadau au unajaribu kuuza idea?
 
Bila shaka unamaanisha Waandaaji wa filamu na sio waigizaji!

Btw, ni kwamba unatoa taarifa tu kwa wadau au unajaribu kuuza idea?
Ndio wandaaji,nataka niwasimulie niliyopitia kisha wafanyie kazi kwenye filamu,ni maisha halisi niliyopitia lakini nikikusimulia utasema hadithi za kutungwa
 
Nina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.
we me au ke!!kama me pita mbali..kama ke njoo pm tunaweza kufanya kitu!!
 
Nina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.

Vipi, umelawitiwa au ulikamatwa unapiga punyeto mpaka iwe na mvuto kihivyo?
 
Ingekuwa ni genre nyingine tungefanya kazi. Ila kama ni mapenzi endelea kutafuta wengine. Nakutakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom